Office Open : 09 AM - 05 PM (Monday to Friday)
GS Power Installations (Pty) Ltd
Electrical Construction, Solar Energy System, ICT & Security Systems
+255 753 041524
info@gspower.co.tz

Training Registration

Fomu ya maombi ya kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi

(CCTV Camera, Electric fence, Alarm system)


Please spare a moment to fill the form below and provide the required details. We will handle it and get back to you as soon as possible using the contact provided.

MAELEZO YA MWOMBAJI


Bonyeza Submit button kutuma taarifa zako GS POWER TRAINING CENTRE


Sifa Za Mwombaji
  1. Awe na elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
  2. Awe na uwezo wa kusoma na kuandika
  3. Awe tayari kujifunza
ANGALIZO:
Hakikisha taarifa unazojaza kwenye FOMU YA MAOMBI ni za uhakika, na ukishamaliza kujaza taarifa zako bonyeza KITUFE (Button) ya submit ili kutuma taarifa zako kwenda GS POWER TRAINING CENTRE.

Utapigiwa simu muda mchache baada tu ya kutuma taarifa zako na pia tutakutumia barua pepe ili kukujulisha kuwa taarifa zako zimepokelewa kwetu.

Ahsante sana kwa kuchagua GS POWER TRAINING CENTRE.